LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2022

MAGESSA: 10% YA BAJETI IENDE KWENYE KILIMO ILI TUWEZE KUFANIKIWA+video


 Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa ameishauri Serikali asilimia 10 ya Bajeti iende kwenye sekta ya kilimo ili Taifa liweze kufanikiwa.

Aidha, ameomba serikali kuliongezea jimbo la Busanda maafisa ugani kwani jimbo hilo lina Kata 37 lakini linao 27 tu, pia ameomba kuwapatia skimu za umwagiliani.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Magessa akitoa ushauri wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages