LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 18, 2022

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI ATEMBELEA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE, KIBAHA, LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa na mgeni wake Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien, walipotembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere, leo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo pamoja Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Ndikuriyo Reverien na wajumbe wengine wakipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Chama Cha Mapinduzi Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Mganwa Nzota (kulia) walipotembelea Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere.


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages