Waziri wa Madini, Dotto Biteko akijibu hoja za baadhi ya wabunge waliochangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo bungeni Dodoma Aprili 29, 2022 , amesema kuwa serikali hadi sasa imeshafuta leseni zaidi ya 200 zisizo tumika yaani mfu lakini pia wataendelea kunyang'anya maeneo ya uchimbaji madini yasiyoendelezwa na kuwapatia wachimbaji wadogo.
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇