Mbunge wa Viti Maalumu kupita Jumuiya Wazazi ya CCM, Bahati Ndingo akihoji bungeni kuwa serikali ina mkakati gani wa kuwapatia dawa wazee wagonjwa bila kusumbuliwa na suala la Bima ya Afya kwa Wote itaanza lini?
Alihoji jambo hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 29,2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Bahati akihoji jambo hilo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇