LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 7, 2022

MBUNGE SHABIBY: ILI MAFUTA YASIPANDE BEI RUHUSUNI WATU BINAFSI WAYAAGIZE+video

 


Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ametoa ushauri wa kizalendo kwa serikali wa jinsi ya kunusuru upandaji bei za mafuta nchini hasa katika kipindi hiki cha vita kati ya Urusi na Ukraine. 

 Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 6, 2022. 

 Mdau unaoombwa uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Shabiby akitoa mchango wake huo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages