Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa ameipongeza serikali kutangaza ajira ya wataalam wa afya na elimu 32,000 lakini pia amesema kuwa idadi hiyo haitoshi inatakiwa kuunda mpango mkakati wa kuwapata wataalam wengine zaidi wa kutoa huduma katika sekta hizo nyeti.Amesema hayo alipokuwa akichangia makadirio ya bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma, Aprili 6, 2022. Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Kawawa akitoa ushauri wake huo....IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇