Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambapo pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kuongeza mishahara ya watumishi hasa kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya sasa.
Ametoa ombi hilo leo Aprili 21,2022 bungeni Dodoma.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Kaijage akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇