LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 21, 2022

MBUNGE HHAYUMA AIFURAHIA BAJETI YA TAMISEMI, ATAKA MASLAHI YA MADIWANI YABORESHWE+video

  Mbunge wa Jimbo la Hanang', mhandisi Samwel Hhayuma ameipongeza Bajeti ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI, inawagusa moja kwa moja wananchi lakini ameishauri kuboresha maslahi ya viongozi wa chini wakiwemo madiwani na watendaji wengine.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 21, 2022 baada ya bajeti hiyo kupitishwa bungeni.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Hhayuma akielezea zaidi umuhimu wa bajeti hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages