Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa Mara, Gati Chomete akielezea mbele ya vyombo vya habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 21, 2022, amesema kuwa ameikubali Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa vile inagusa maisha ya wananchi.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chomete akielezea zaidi kuhusu manufaa ya bajeti hiyo....
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇