Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa akielezea baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, amewasisitiza wabunge wenzake kusimamia vizuri miradi mbalimbali katika maeneo yao ili iendane na uhalisia wa bajeti.
Amesisitiza hilo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 21, 2022.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Magessa akielezea zaidi kuhusu bajeti hiyo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇