Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea jezi iliyoandikwa jina lake kutoka
kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy)
kiitwacho Aspire, Tim Cahilll wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo
Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. Jezi hiyo ilitolewa kama kumbukumbu
ya ziara yake kituoni hapo.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu
wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll
(kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar,
Machi 22, 2022.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa
Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy)
kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno (kulia) wakati alipotembelea kituo
hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Mar 23, 2022
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇