Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa ubora na uthabiti wa Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan umeipaisha sekta ya Utalii Duniani ikiwemo utalii wa mikutano ya kimataifa kufanyika nchiniWaziri Ndumbaro ameyazungumza hayo wakati wa mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma leo Machi 23, 2022 alipokuwa akitangaza mafanikio lukuki yaliyopatikana katika uongozi wa mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa katika mkutano huo.
Wanahabari wakifuatilia kwa makini wakati Waziri Ndumbaro akitangaza mafanikio hayo.
PICHA ZOITE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Ndumbaro akitangaza mafanikio hayo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇