LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 26, 2022

WAHITIMU WA UUGUZI NA UKUNGA WATAKIWA KUFANYA KAZI KIMAADILI, KUTOOMBA RUSHWA KWA WAGONJWA+video

 




Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt Aifello Sichwale akihutubia wakati wa mahafali ya 4 ya kutunuku vyeti na leseni kwa wauguzi na wakunga zaidi ya 2500 yaliyofanyika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma jijini Dodoma  leo Machi 26, 2022.Amewataka wauguzi na wakunga kufanya kazi kwa kufuata maadili na kuacha tabia ya kuomba rushwa kwa wagonjwa ili wawapatie huduma.


Msajili wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania,  Agnes Mtawa  akizungumza wakati wa mahafali hayo na kuwataka wanataaluma hao kufanya kazi kwa huruma wanapowahudumia wagonjwa.

Baadhi ya waguzi na wakunga wakiwa katika mahafali hao.




Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt Aifello Sichwale  akiwakabidhi vyeti na zawadi ya fedha baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri katika mitihani yao.


Wajumbe wa Sekretarieti ya Baraza la Wauguzi na Wakunga wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi.

Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walio meza kuu pamoja na mgeni rasmi, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt Sichwale.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt Sichwale na Msajiri wa Baraza, Bi. Mtawa wakiwaasa wahitimu hao kuwahudumia wagonjwa kwa huruma na kufuata maadili, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya kazi yao.....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages