LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2022

MARRY G AWANIA TUZO YA MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA

  Msanii mahiri wa muziki MARRY G (kulia) ni miongoni mwa wasanii wa kike walioingia kwenye kinyang'anyiro cha kuwania TUZO za wasanii bora wa kike wanaoibukia katika katika muziki wa Bongo Flava nchini. Namba yake ya kupigiwa kura ili ashinde taji hilo ni  Code: T2113 kwa tuma ujumbe huo kwenye namba 0677209090.


No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages