LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 29, 2022

KWA MSISI WAMSHUKURU RAIS SAMIA MKURABITA KURASIMISHA ARDHI YAO+video


Diwani wa Kata ya Msisi, Mathayo Malilo akiishukuru MKURABITA kuwapelekea mradi huo wenye manufaa makubwa kwa wananchi kiuchumi. Ametoa shukrani hizo wakati wa mafunzo ya kujengewa uelewa kuhusu faida za urasimishaji wa mashamba yao.
Meneja Urasimishaji Ardhi Vijijini kutoka Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), akitoa mafunzo ya kuwajengea uwezo na uelewa 

wananchi wa Kijiji cha Msisi ambao ardhi yao itarasimishwa na kupatiwa hati miliki.


Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano MKURABITA, Glory Mbilimonyo akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa  na uwezo wananchi wa kijiji hicho kuhusu faida za urasimishaji ardhi.
                                                       
Mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Msisi, akiuliza swali  na kutoa shukrani kwa Serikali ya Awamu ya Sita  inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutoa fedha za kuratibu mpango huo wa urasimishaji ardhi katika kijiji chao.
Wananchi wakiwa makini kusikiliza walipokuwa wakipatiwa mafunzo hayo.



PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 
 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Maofisa wa MKURABITA wakiendesha mafunzo hayohuku baadhi ya wanakijiji wakitoa shukrani kwa Rais Samia

, .....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages