LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 29, 2022

DODOMA YAGEUKA KIJANI KUELEKEA MKUTANO MKUU WA CCM+video

Mandhari ya baadhi ya barabara za Jiji la Dodoma zikiwa zimepambwa na bendera pamoja na mabango yenye picha za Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho tawala utakaofanyika jijini Dodoma Aprili Mosi, 2022.









 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video Dodoma ilivyo kwa sasa kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM.....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages