LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 19, 2022

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI YAKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeendelea na ziara Mkoa wa Mara. Baada ya salamu na maelezo ya Mwanzo imeenda Uwandani kuona kazi iliyokwisha fanywa ya kuimarisha mpaka wa Kenya na Tanzania katika eneo la Km 60. 


Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete akiwa katika kikao na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Happy.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages