Na CCM Blog, Kanda ya Ziwa
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wapo katika ziara ya Kanda ya Ziwa kwa ajili ya kutangaza mafanikio ya Miaka 45 ya kuzaliwa CCM na kuhimiza Uhai wa Chama.
Katika ziara hiyo Wajumbe hao wa NEC wamekuwa wakiwaasa viongozi kuhakikisha wanasimamia Uchaguzi kwa uadifulifu mkubwa ili wapatikane viongozi mahiri, thabiti na wenye imani na CCM, ambao wataakivusha Chama kwenye chaguzi za 2024 na 2025.
Pia Wajumbe hao wa NEC wametumia ziara hiyo kuwaelimisha viongozi umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi na wakae tayari na waondokaane na imaani potofu kwaa kuwa sensa ni kwa ajili ya Maendeleo na si vinginevyo.
"Lakini pia tunamempongeza Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hasan kwa hotuba nzuri aliyoitoa wakati wa Maadhimisho ya Miaka 45 ya CCM aliyoitoa mkoani Mara, ambayo imeelekeza kwa Kila mwana CCM kuwa mwadilifu", amesema Angelina Akilimali akizungumza na Blog ya Taifa ya CCM kuhusu ziara hiyo.Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa na RAS wa Shinyanga. DAS wa Shinyanga Ndugu Zuwena akisaini Kiwa Ofisini kwake wakati WANEC hao walipowasili katika Ofisi hiyo.Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa na M-NEC wa Geita Ndugu Evarist.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa nawenyeji wao.
Agatha Msuya akiwa katika Ofisi ya CCM mkoa wa Shinyanga.
Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa katika Ofisi ya CCM mkoa wa Shinyanga.
Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali akiwa katika Ofisi ya CCM mkoa wa Shinyanga.
Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM mkoa wa Shinyanga. Kulia ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Ndugu Katabi na kulia ni katibu wa UWT wa mkoa huo Rebeka Magoma. Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakisaini vitabu vya Wageni katika Ofisi yaCCM mkoa wa Shinyanga.
Wakiendelea kusaini vitabu vya wageni.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa katika Ofisi ya CCM mkoa wa Shinyanga, Kushoto ni Katibu wa UWT mkoa huo.Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa na mwenyeji wao nje ya Ofisi ya CCM mkoa wa Kagera.Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelina Akilimali na Agatha Msuya wakiwa katika Ofisi ya CCM mkoa wa Geita
Your Ad Spot
Feb 12, 2022
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
CCM chama langu
ReplyDelete