LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 12, 2022

MWANYIKA: MRADI WA LIGANGA, MCHUCHUMA NI SPESHO KWA UCHUMI WA NCHI, USICHELEWESHWE UANZE HARAKA+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameishauri serikali kuharakisha kumalizika kwa majadiliano ya mradi wa Liganga na Mchuchuma ili uanze kuzalisha na kuliingizia pato Taifa kwani ni miaka 11 sasa tangu mkataba na wabia usainiwe.

Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia taarifa ya utekelezaji ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara iliyowasilishwa bungeni Dodoma Februari 11, 2022.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akiupambania mradi huo wa uzalishaji wa chuma na makaa ya mawe....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages