LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 1, 2022

ZIARA KATIBU MKUU CHONGOLO BARIADI LEO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akizungumza mara baada ya kuonyweshwa mchoro wa mradi wa ujenzi wa eneo la biashara ndogo ndogo katika eneo linalojulikana kwa jina la soko la jioni Bariadi..(Picha na CCM Makao Makuu)
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakazi wa shina namba 13, Tawi la Igaganulwa kata ya Dutwa, Bariadi kwenye  mkutano Mkuu wa Shina ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Simiyu.(Picha na CCM Makao Makuu) 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwenye picha ya pamoja na Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi pamoja na wananchi wa jirani mara baada ya kumaliza ziara yake hapo. (Picha na CCM Makao Makuu) Sehemu ya Wananchi waliohudhuria mkutano mkuu wa shina namba 13, Tawi la Igaganulwa kata ya Dutwa, Bariadi ambapo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ikiwa sehemu ya ziara yake pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa mkoani Simiyu.(Picha na CCM Makao Makuu 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi.(Picha na CCM Makao Makuu) Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiangalia viatu vya ngozi vinavyotengenezwa na Kikundi cha Vijana Dutwa kinachotengeneza bidhaa za ngozi, kushoto ni Mwenyekiti wa Kikundi hicho Mussa Nchambi.(Picha na CCM Makao Makuu)


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages