7
Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson akila kiapo cha uspika wa Bunge mara baada ya wabunge kumpigia kura zote 376 na kuwashinda wagombea wa vyama vingine bungeni Dodoma leo Februari 1,2022.
Dkt. Ackson akitia sani baada ya kuapa.
Dkt. Ackson akitoa shukrani kwa Waziri Mkuu Majaliwa baada ya kuapa.
Akitoa shukrani kwa Mnadhimu Mkuu wa Serikali Bungeni, Dkt Pindi Chana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
Akitoa shukrani kwa wabunge alipokuwa akisindikizwa kutoka nje kuvaa joho rasmi la ubunge na baadye kuingia tena bungeni kuongoza kika.
Spika mpya wa Bunge akiingia kwa mara ya kwanza baada ya kuvaa joho rasmi la uspika.
Wabunge wakipiga makofi Spika Dkt Tulia alipokuwa akiongoza Bunge
Spika Dkt Tulia akimwapisha Mbunge wa Ngorongoro
Mama mzayi wa Spika Dkt Tulia akisaidiwa kusimama baada ya kutambulishwa bungeni.
Wageni mbalimbali wakitambulishwa bungeni
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇