LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 6, 2022

SPIKA DKT. TULIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 45 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOANI MARA.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi, Mhe. Abdulrahaman Kinana mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Karume Mkoani Marakushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) , Februari 5, 2022, kushoto ni Katibu Mkuu Mstaafu CCM Taifa, Mhe. Wilson Mukama, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
Wananchi Mbalimbali wakishiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Karume Mkoani Mara, Februari 5, 2022, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwapungia wananchi mkono mara baada ya kutambulishwa na katibu wa Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Ndg. Hamidu Shaka wakati (hayupo kwenye picha) aliposhiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Karume Mkoani Mara, Februari 5, 2022, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
Vijana chipukizi wa Chama cha Mapinduzi (kulia)wakisherehesha sherehe za maadhimisho miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uwanja wa Karume Mkoani Mara, Februari 5, 2022, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Pichani (kulia) ni baadhi ya Wananchi
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Karume Mkoani Mara kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Februari 5, 2022, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan 
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Karume Mkoani Mara kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Februari 5, 2022, ambapo katika sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages