Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar,leo Februari 24, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar,leo Februari 24, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.Tulia Ackson (Mb), akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla katika ofisi za Makamu wa Rais zilizopo Vuga Mjini Zanzibar, Februari 24, 2022
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇