Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo leo Februari 6, 2022, amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuwania nafasi ya unaibu spika katika Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma.Anyemkabidhi ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi CCM, Cuthbert Midala.
Nyongo akitia saini katika kitabu cha orodha ya wabunge walioomba kugombea unaibu spika
Akionesha kwa wanahabari fomu ya kuomba kuwania unaibu spika.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Nyongo akielezea azma yake ya kuwania unaibu spika....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA Mhariri Blog ya Taifa ya CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇