Mbunge wa Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Joseph Tadayo amerejesha fomu za kuomba ridhaa ya kuwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Makao Makuu ya CCM, Dodoma Februari 6, 22.Fomu hizo zimepokelewa na Ofisa wa Kitengo cha Oganaizesheni Makao Makuu ya CCM, Zuhura Hassan.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Tadayo akielezea nia yake ya kuwania nafasi hiyo nyeti ya Unaibu Spika wa Bunge....
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇