Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Mathew Kundo amesema kuwa uwekezaji mambo ya tehama katika Jeshi la Polisi ni jambo la lazima ili liendane kasi ya mabadiliko ya teknolojia hiyo duniani kwa lengo la kujiandaa kukabiliana na wahalifu mitandaoni.
Kundo ameyasema hayo alipokuwa akizindua mafunzo endelevu kwa maafisa wa jeshi hilo jijini Dodoma leo Februari 21, 2022, ambapo ameliomba Jeshi la Polisi kusaidia kuielimisha jamii kuhusu makosa kimatao ili kupunguza uhalifu nchini.
Kundo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo pamoja na wato amafunzo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Naibu Waziri Kundo akitoa maagizo hayo,,,,
IMEANDALIWA NNA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇