LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 15, 2022

NAIBU SPIKA ZUNGU AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UNDP TANZANIA.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu (Mb), katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) wakiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Ndg. Christine Musisi (wapili kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 15, 2022, wapili kushoto ni Mratibu wa Miradi kutoka ofisi ya Bunge, Ndg. Mary Lasway

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages