LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 5, 2022

MBUNGE WA MWANGA, TADAYO ACHUKUA FOMU KUWANIA UNAIBU SPIKA

 

Mbunge wa Mwanga Mh Joseph Tadayo akikabidhiwa fomu ya kuomba kugombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Makauu ya CCM, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages