LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 10, 2022

MBUNGE MWAKANG'ATA APEWA HESHIMA BUNGENI KUWASILISHA TAARIFA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA+video

 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Rukwa, Bupe MWAKANG'ATA Februari 9, 2022 amepewa heshima ya kuwasilisha bungeni Taarifa ya Shughuli ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages