Mbunge wa Mtwara Mjini, Hassan Mtenga akichangia taarifa ya mwaka Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utali ambapo pamoja na mambo mengine, amesema kuwa Hifadhi ya Ngorongoro inateketea kwa sababu ya uwepo wa kaya nyingi na mifugo mingi na kudai kwamba kuna vitu vinafichwa ikiwemo watu kuuawa na simba na kuzikwa usiku lakini hawasemi.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇