Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke ameihoji serikali bungeni kwamba ni lini kipande cha Km 51 cha Barabara ya Uvinza hadi Malagalasi itajengwa kwa kiwango cha lami?
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇