Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo ameipongeza Serikali kuleta bungeni marekebisho ya sheria iliyokuwa inaruhusu kumweka mtuhumiwa rumande kabla ya upelelezi kukamilika. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia bungeni Dodoma leo Februari 7, 2022 muswada wa marekebisho ya sheria mbalimbali (namba 7) ya mwaka 2021.
Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Tadayo akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇