LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 22, 2022

CHONGOLO AONGOZA UZINDUZI WA BARABARA YA UKOMBOZI, KIBAHA MKOA WA PWANI, LEO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akiwaongoza viongozi wa vyama rafiki vya Ukombozi kukata utepe kuzindua  Barabara ya Ukombozi yenye urefu wa kilomita 1.8 kutoka Kibaha hadi Shule ya Ukombozi, Kibaha kwa Mfipa mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages