Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti kwa wanafunzi wa shule na vyuo nchini uliofanyika shule ya sekondari ya Dodoma leo Januari 20,2022 jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akihutubia wakati wa hafla hiyo
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, David Silinde akipanda mti.
Baadhi ya Mabalozi wa Mazingira wakipanda Mti wakati wa uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti kwa wanafunzi wa shule na vyuo nchini uliofanyika shule ya sekondari ya Dodoma leo Januari 20,2022 jijini Dodoma.Kulia ni Balozi wa Mazingira ambaye ni Mwandishi wa habari wa EATV Oliva Nyeriga.(Katikati) Balozi Sakina Abdulmasoud pamoja na Mwandishi wa Gazeti la Zanzibar Leo Saida Issa.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka akipanda mtiMkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri akimwagilia maji mti.
Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe akimwagilia mti baada ya kuupanda.
Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbaga akishiriki kupanda miti
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa na walimu pamoja na wanafunzi mara baada ya kuzindua akizungumza wakati kampeni ya upandaji miti kwa wanafunzi wa shule na vyuo nchini uliofanyika shule ya sekondari ya Dodoma leo Januari 20,2022 jijini Dodoma.
Waziri Jaffo akiwatambulisha mabalozi wa Mazingira.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa uzinduzi huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDAMHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇