LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 16, 2022

WAZIRI BITEKO: STAMICO TUMIENI KOTI LA UZOEFU KUWA CHACHU YA UBUNIFU+video

WAZIRI wa Madini, Dotto Biteko akizindua Bodi ya Shirika la Madini Tanzania (STAMICO) jijini Dodoma Januari 15, 2022 na kuitaka Bodi kutumia koti la uzoefu kuwa chachu ya ubunifu wa kuliendeleza shirika hilo.
Naibu Waziri wa Madini,  Steven Kisurwa akijitambulisha wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Stamico.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Stamico, Meja Jenerali mstaafu Michael Isamuhyo. 

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Dkt.Venance Mwasse  akitoa neno la utangulizi kuhusu utendaji wa shirika hilo.

Meneja Masoko wa Stamico, Geofrez Meena (kulia) akiwa na baadhi ya wajumbe wa Bodi na watendaji wa shirika hilo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri katika hafla hiyo....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages