LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 16, 2022

UCHUKUAJI FOMU ZA USPIKA WAFIKIA TAMATI, WANACCM 69 KUCHUJWA+video


 Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Oganaizesheni CCM Taifa, Solomon Itunda akitangaza idadi ya wanachama wa CCM 69 waliochukua fomu za kuomba kuwania uspika siku ya mwisho Januari 15, 2022 katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

PICHA NA RICHARD MWAIKENDA


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza clip hii ya video, Itunda akihitimisha yoezi hilo la kuchukua na kurejesha fomu ya kuomba kuwania uspika...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages