Afisa Tawala Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam John Ngonyani akisaini Kitabu cha maombolezo alipofika kutoa pole nyumbani kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mrtine Shigela Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam, leo kufuatia kifo cha mkuu huyo wa mkoa kilichotokea usiku wa kuamkia jana.
Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa na Wadau hasa aliokuwa nao wakati akiwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM👇
Waombolezaji wakiwa katika matukio mbalimbali👇
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba akisaini kitabu cha maombolezo alipofika kutoa pole nyumbani kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mrtine Shigela Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam, leo kufuatia kifo cha mkuu huyo wa mkoa kilichotokea usiku wa kuamkia jana.Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam akisaini kitabu cha maombolezo alipofika kutoa pole nyumbani kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mrtine Shigela Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam, leo kufuatia kifo cha mkuu huyo wa mkoa kilichotokea usiku wa kuamkia jana.Mmoja wa Ndugu akiwa na mtoto nyumbani kwa RC Shigela ambako kuna msiba wa RC huyo kufiwa na mkewe.
Waombolezaji wakiwa kwenye msiba nyumbani kwa RC Shigela, Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kada wa CCM Ismail Mwamba, Naibu Waziri wa Kilimo na Uvuvi Abdallah Ulega, Msanii Steve Nyerere na OCD Morogoro Georgina Matagi.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Komredi Ngalai.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Fatma Almas Nyangasa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James akisalimiana na Naibu Waziri Abdallah Ulega. Kulia ni Msanii nguli, Steve Nyerere.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kate Kamba.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James akisalimiana na OCD mkoa wa Morogoro Georgina Matagi.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Martine Shigela akisalimiana na waombolezaji mbalimbali kufuatia kifo cha mkewe.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Martin Shigela akipewa pole na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James kufuatia kifo cha mkewe.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Kate Kamba akimpa pole RC Shigela kufuatia kifo cha mkewe.
Msanii nguli Steve Nyerere akijadili jambo na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi, msimabani
Brigedia Jenerali Senzia akimpa pole RC Shigela
Brigedia Jenerali Senzia na Kanali Makyao (kulia) wakimpa pole RC Shigela.
Naibu Waziri Ulega akimpatia maneno ya faraja RC Shigela
Waombolezaji DC Kheri James, Naibu Waziri Ulega wakimtuliza RC Shigela baada ya kuzidiwa na machungu ya msiba wa mkewe.
Mtangazaji maarufu wa siku nyingi Pascal Mayala (kulia) akiwa na muombolezaji mwenzake kwenye msiba huo.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akisaini kitabu cha maombolezo alipofika kutoa pole nyumbani kwa Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mrtine Shigela Tegeta Salasala jijini Dar es Salaam, leo kufuatia kifo cha mkuu huyo wa mkoa kilichotokea usiku wa kuamkia jana.
Waziri Ummy Mwalimu akimsikiliza RC Shingela aliyekuwa akimweleza jambo, alipofika kumfariji.
Kasilda Mtani akimpa pole RC Shigela.
Mwili wa Marehemu mkewe RC Shigela unaagwa leo nyumbani kwa RC huyo Tegeta Salasala jijini dar es Salaam na baadaye kusafirishwa kwenda Shinyanga kwa ajili ya Mazishi.
Blog ya Taifa ya CCM tunatoa pole za dhati kwa RC Shigela kufuatia msiba huo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇