Viongozi wa Chama cha Skauti wa Kike Tanzania,TGGA (Tanzania Girl Guides Association) wa mikoa 12 walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo wa uelewa juu ya Mabadiliko ya Tabianchi jijini Dar es Salaam, wameahidi kuyatumia mafunzo hayo kwenda kuieklimisha jamii katika mikoa yao jinsi ya kupambana na mabadiliko ya Tabianchi. Mafunzo hayo yalihudhuriwa pia na viongozi wa Skauti wa Kike kutoka Benini na Lesotho pamoja na wakufunzi wa kujitolea kutoka Chama cha Skauti wa Kike Duniani (WAGGGS).
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, viongozi wa TGGA wakielezea watakavyokwenda kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi mikoani kwao.....
Imeandaliwa na Richard MwaikendaMhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇