LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2022

KATIBU MKUU CCM NA WAJUMBE WA SEKRETARIETI WAWASILI MKOANI SIMIYU

 


 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amewasili na kupokelewa kwenye uwanja  Kilole, wilaya ya Busega mkoani Simiyu tayari kwa ziara kukagua, kuhamasisha na kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa Chama katika ngazi za mashina.
Katika ziara hiyo Katibu Mkuu ameongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa .

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages