Baadhi ya Wazee wa Kichaga wakimvisha vazi la mila Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kumkaribisha kwenye kabila hilo, wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Chief Mkuu wa Kabila la Kichaga Chief Mareale akimkabidhi Ngao na Mshale Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kama ishara ya kumkaribisha rasmi kwenye kabila hilo wakati wa Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro lililozinduliwa leo, katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwahutubia Wananchi katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono Wananchi wakati akiudi Jukwaa Kuu, baada ya kuwahutubia katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leo
Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, wakati akiwahutubia katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leo
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, wakati akiwahutubia katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya kumbukumbu na viongozi wa kimila wa Wachaga baada ya kuwahutubia katika Uzinduzi wa Tamasha la kwanza la Utamaduni wa Mkoa wa Kilimanjaro katika Uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi leo
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇