Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Mh. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo - Ruth Zaipuna.
Rais Samia alifurahishwa na utendaji wa benki hiyo na kuitaka kuendelea kuisaidia serikali katika juhudi za kukuza uchumi nchini.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇