Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Zifuatao ni picha za matukio mbalimbali yaliyojiri wakati wa matembezi hayo. Picha zote na Fahadi Siraji
Your Ad Spot
Jan 7, 2022
Home
featured
siasa
RAIS SAMIA AFUNGA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MATEMBEZI YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR, KISIWANI PEMBA, LEO
RAIS SAMIA AFUNGA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MATEMBEZI YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR, KISIWANI PEMBA, LEO
Tags
featured#
siasa#
Share This
About Bashir Nkoromo
siasa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇