LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 1, 2022

PROF. MUHONGO: UCHUMI WA KISASA WA KILA TAIFA UNAHITAJI SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU




 KATIKA Salamu ya kuuaga mwaka 2021 na kuukaribisha Mwaka mpya wa 2022, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa Uchumi wa Kisasa wa kila Taifa unahitaji Sayansi,Teknolojia na Ubunifu.


ECONOMIC PROSPERITY IN COMING DECADES: STI & 4TH INDUSTRIAL REVOLUTION.


Aidha, katika Mwaka mpya 2022, Profesa Muhongo ameahidi katika jimbo lake la Musoma Vijijini kwamba utakuwa wa HIGH SCHOOLS za masomo ya Sayansi. 


Amewatakia heri ya Mwaka Mpya 2022, Wananchi wa Jimbo la Musoma Vijijini na Watanzania kwa ujumla.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages