LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 1, 2022

KATIBU MWENEZI CCM NJOMBE AMTAKA SPIKA NDUGAI ALINDE HESHIMA, AMUACHE RAIS SAMIA ATAFUTE PESA


 “Ndugai Watanzania tumekuheshimu, tumekupa Bunge linda heshima uliyopewa pamoja na hayo unaendesha Bunge kibabe, lakini humo bungeni una Wabunge wasio na vyama umewatoa wapi? Katiba ya nchi inasemaje.Muache mama atafute pesa” Erasto Ngole katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Njombe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages