LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 24, 2022

KATIBU MKUU CHONGOLO NA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM WAWASILI PEMBA KUANZA ZIARA YA SIKU MBILI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo akilakiwa baada ya yeye na baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM kuwasili katika Uwanja wa Ndege, Kisiwani Pemba, leo kwa ajili ya kuanza ziara ya siku mbili (2) Kisiwani humo, leo. Pamoja naye  kutoka kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Mabodi.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na ujumbe wake wakitazama burudani ya ngoma.
Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo na ujumbe wake wakiendelea kupokewa katika Uwanja huo wa Ndege Kisiwani Pemba baada ya kuwasili. (Picha zote na Makao Makuu ya CCM).

1 comment:

  1. Nawapongeza Sana ktb senkteriat ya ccm kwa kufumisha umoja

    ReplyDelete

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages