LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 20, 2022

KAMATI KUU YA CCM KUUNGURUMA LEO JIJINI DODOMA CHINI YA MWENYEKITI WA CCM, RAIS SAMIA

CCM Blog, Dodoma

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kinafanyika leo Alhamisi Januari 20,  2022 baada ya kutofanyika Januari 18, 2022 kama ilivyokuwa imepangwa awali.

Kikao hi hicho cha leo ambacho kiftafanhika ktika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House), jijini Dodoma, kitaendeshwa na Mwenyekuti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa Taarifa, kikao hicho kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages