Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpa Mpango wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Askaofu mstaafu wa kanisa la Anglikana Herald Mpango katika mazishi yaliyofanyika leo katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea, Kasulu mkoani KigomaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi lenye mwili wa Askaofu mstaafu wa kanisa la Anglikana Herald Mpango katika mazishi yaliyofanyika leo katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea, Kasulu mkoani Kigoma
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango alipokuwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Kaka yake, Asksofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Gerald Mpango wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyka katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea, Kasulu mkoani Kigoma, leo
Your Ad Spot
Jan 22, 2022
Home
featured
Kitaifa
KAKA YAKE MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO, ASKOFU MSTAAFU GERALD MPANGO AZIKWA LEO KASULU MKOANI KIGOMA
KAKA YAKE MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO, ASKOFU MSTAAFU GERALD MPANGO AZIKWA LEO KASULU MKOANI KIGOMA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About Bashir Nkoromo
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇