LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 17, 2021

TIMU YA BUNGE LA TANZANIA YAENDELEA KUTOA DOZI MICHEZO AFRIKA MASHARIKI, YAICHAKAZA 5-1 BURUNDI

 


Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Simai Hassan Sadiki (kulia) akimtoka Beki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.

Nahodha  wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Cosato Chumi  (kushoto) akidhibiti mpira mbele ya  Mabeki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.

    Kiungo  wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Ramadhan Suleiman  Ramadhan  (kulia) apiga pasi mbele ya Kiungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.

Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Ridhiwan Kikwete (katikati) akiwatoka Mabeki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.

Nahodha Msaidizi Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Athony Mavunde  akiwatoka viungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.

PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages