RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwini akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Anthony Mtaka na Vingozi wengine baada ya kuwasili,leo 17-12-2021, kuhudhuria Vikao vya Chama cha Mapinduzi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Anthony Mtaka, wakielekea katika chumba cha mapumziko baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Vikao vya Chama Cha Mapinduzi vinavitarajiwa kuaza leo icha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇