LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2021

RUWASA YAENDELEA KUSIFIWA MUSOMA VIJIJINI

 

Maji safi na salama ya BOMBA kutoka Ziwa Victoria yaanza kutumika ndani ya VIJIJI 3 vya KASTAMU, BUANGA na BUTATA


ANGALIA FURAHA za Wanavijiji ambao sasa wanaouhakika wa kupata MAJI SAFI & SALAMA majumbani mwao.


SHUKRANI nyingi sana zimetolewa. sikiliza "CLIP" iliyoambatanishwa hapa.


Taarifa kutoka:

*Ofisi ya RUWASA

Musoma DC


*Ofisi ya Mbunge

Jimbo la Musoma Vijijini


www.musomavijijini.or.tz





No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages